1 line
164 B
Plaintext
1 line
164 B
Plaintext
|
\v 1 Usijisifu kwa ajili ya kesho, maana hujui siku italeta nini. \v 2 Mtu mwingine akusifu na wala si kinywa chako mwenyewe, mgeni na wala si midomo yako mwenyewe.
|