Mon Nov 07 2022 11:00:32 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
875f8fa9c9
commit
d03789813b
|
@ -1 +1 @@
|
||||||
\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kuisha. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki.
|
\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kutoweka. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki.
|
Loading…
Reference in New Issue