From d03789813b6b255f8da1f307065b19f7ebb3bffc Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Mon, 7 Nov 2022 11:00:34 +0300 Subject: [PATCH] Mon Nov 07 2022 11:00:32 GMT+0300 (East Africa Time) --- 51/54.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/51/54.txt b/51/54.txt index 549e2ae..45992ee 100644 --- a/51/54.txt +++ b/51/54.txt @@ -1 +1 @@ -\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kuisha. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki. \ No newline at end of file +\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kutoweka. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki. \ No newline at end of file