Mon Nov 07 2022 10:58:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 10:58:34 +03:00
parent 6d92b9381d
commit 875f8fa9c9
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 52 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja--hivi ndivyo asemavyo Yahwe-- nitakapoziadhibu sanamu zake, na waliojeruhiwa watanung'unika kwa maumivu katika nchi yake yote. \v 53 Maana hata kama Babeli angepanda mbinguni au kujenga ngome zake ndefu, aharibuye kutoka kwangu angemwendea - hili ni tamko la Yahwe.
\v 52 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja--hivi ndivyo asemavyo Yahwe-- nitakapoziadhibu sanamu zake, na waliojeruhiwa watanung'unika kwa maumivu katika nchi yake yote. \v 53 Maana hata kama Babeli angepanda mbinguni au kujenga ngome zake ndefu, waharibuo kutoka kwangu wangemwendea--hili ni tamko la Yahwe.

View File

@ -1 +1 @@
\v 54 Kelele ya maangamizi ilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kuisha. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki.
\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kuisha. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki.

View File

@ -182,6 +182,7 @@
"51-43",
"51-45",
"51-47",
"51-50"
"51-50",
"51-52"
]
}