diff --git a/51/52.txt b/51/52.txt index 2b39b3c..e460926 100644 --- a/51/52.txt +++ b/51/52.txt @@ -1 +1 @@ -\v 52 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja--hivi ndivyo asemavyo Yahwe-- nitakapoziadhibu sanamu zake, na waliojeruhiwa watanung'unika kwa maumivu katika nchi yake yote. \v 53 Maana hata kama Babeli angepanda mbinguni au kujenga ngome zake ndefu, aharibuye kutoka kwangu angemwendea - hili ni tamko la Yahwe. \ No newline at end of file +\v 52 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja--hivi ndivyo asemavyo Yahwe-- nitakapoziadhibu sanamu zake, na waliojeruhiwa watanung'unika kwa maumivu katika nchi yake yote. \v 53 Maana hata kama Babeli angepanda mbinguni au kujenga ngome zake ndefu, waharibuo kutoka kwangu wangemwendea--hili ni tamko la Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/51/54.txt b/51/54.txt index 4532bf4..549e2ae 100644 --- a/51/54.txt +++ b/51/54.txt @@ -1 +1 @@ -\v 54 Kelele ya maangamizi ilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kuisha. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki. \ No newline at end of file +\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kuisha. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index aef9bde..f186671 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -182,6 +182,7 @@ "51-43", "51-45", "51-47", - "51-50" + "51-50", + "51-52" ] } \ No newline at end of file