Mon Nov 07 2022 20:01:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 20:01:34 +03:00
parent 5dfe3f8f3d
commit 8df5379859
6 changed files with 9 additions and 25 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 18 Shukeni kutoka mahali penu pa heshima na kuketi katika nchi kavu, ewe binti uishie Diboni. Kwakuwa aiangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, ataziharibu ngome zako. \v 19 Simameni njiani na kuangalia, enyi mwishio katika Aroeri. Waulizeni wanaokimbia na kutoroka. Sema, 'Nini kimetokea?' \v 20 Moabu ameaibika, kwa maana amevujwa. Lieni kwa sauti na uchungu; pigeni yowe kuomba msaada. Wambieni watu waliokando ya Mto Arinoni kwamba Moabu ameangamizwa.
=======
\v 18 Shukeni kutoka mahali penu pa heshima na kuketi katika nchi kavu, ewe binti uishie Diboni. Maana aiangamizaye Moabu anakushambulia, atakayeziharibu ngome zako. \v 19 Simameni njiani na kuangalia, enyi muishio katika Aroeri. Waulizeni wanaokimbia na kutoroka. Sema, 'Nini kimetokea?' \v 20 Moabu ameaibika, maana amevujwa. Lieni kwa sauti na uchungu; pigeni yowe kuomba msaada. Wambieni watu waliokando ya Mto Arinoni kwamba Moabu ameangamizwa.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 18 Shukeni kutoka mahali penu pa heshima na kuketi katika nchi kavu, ewe binti uishie Diboni. Kwakuwa aiangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, ataziharibu ngome zako. \v 19 Simameni njiani na kuangalia, enyi mwishio katika Aroeri. Waulizeni wanaokimbia na kutoroka. Sema, 'Nini kimetokea?' \v 20 Moabu ameaibika, kwa maana amevujwa. Lieni kwa sauti na uchungu; pigeni yowe kuomba msaada. Wambieni watu waliokando ya Mto Arinoni kwamba Moabu ameangamizwa.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 21 Basi maangamizi yamefika katika nchi ya kilima, huko Holoni, Yakza, na Mefathi, \v 22 na huko Diboni, Nebo, na Bethi Diblathaimu, \v 23 hata huko Kiriatahaimu, Beth Gamul, na Bethi Meoni, \v 24 Huko Keriothi na Bozra, na katika miji yote iliyomo katika nchi ya Moabu--miji iliyoko mbali na karibu. \v 25 Nguvu za Moabu zimekwisha; mkono wake umevunjwa--asema Yahwe.
=======
\v 21 Basi maangamizi yamefika katika nchi ya kilima, huko Holoni, Yakza, na Mefathi, \v 22 huko Diboni, Nebo, na Bethi Diblathaimu, \v 23 huko Kiriatahaimu, Beth Gamul, na Bethi Meoni, \v 24 huko Keriothi na Bozra, na katika miji yote iliyomo katika nchi ya Moabu - miji iliyoko mbali na karibu. \v 25 Nguvu za Moabu zimekwisha; mkono wake umevunjwa - asema Yahwe.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 21 Basi maangamizi yamefika katika nchi ya kilima, huko Holoni, Yakza, na Mefathi, \v 22 na huko Diboni, Nebo, na Bethi Diblathaimu, \v 23 hata huko Kiriatahaimu, Beth Gamul, na Bethi Meoni, \v 24 Huko Keriothi na Bozra, na katika miji yote iliyomo katika nchi ya Moabu--miji iliyoko mbali na karibu. \v 25 Nguvu za Moabu zimekwisha; mkono wake umevunjwa--asema Yahwe.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 26 Mnywesheni, maana alitenda kwa kiburi kinyume changu, Yahwe. Basi Moabu anapiga makofi kwa machukizo kwa matapiko yake mwenyewe, hivyo amekuwa pia kitu cha kuchekesha. \v 27 Kwani Israeli hakufanyika kitu cha kuchekesha kwako? Je, alikuwa amepatikana miongoni mwa wezi, kiasi cha kukufanya utikise dhidi yake kichwa chako kila mara uliponena juu yake?
=======
\v 26 Mnywesheni, maana alitenda kwa kiburi kinyume changu, Yahwe. Basi Moabu anapiga makofi kwa machukizo kwa matapiko yake mwenyewe, hivyo amekuwa pia kitu cha kuchekesha. \v 27 Maana Israeli hakuwa kitu cha kuchekesha kwako? Alionekana miongoni mwa wezi, kwamba ulitikisa kichwa chako kwake mara ulipoongea juu yake?
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 26 Mnywesheni, maana alitenda kwa kiburi kinyume changu, Yahwe. Basi Moabu anapiga makofi kwa machukizo kwa matapiko yake mwenyewe, hivyo amekuwa pia kitu cha kuchekesha. \v 27 Kwani Israeli hakufanyika kitu cha kuchekesha kwako? Je, alikuwa amepatikana miongoni mwa wezi, kiasi cha kukufanya utikise dhidi yake kichwa chako kila mara uliponena juu yake?

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 28 Jitengeni na miji na kuweka kambi katika majabali, enyi watu wa Moabu. Kuwa kama njiwa anayeatamia juu ya mlango wa tundu katika miamba. \v 29 Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu--majivuno yake, maringo, kiburi, utukufu binafsi na kujiinua moyoni.
=======
\v 28 Jitengeni na miji na kuweka kambi katika minuko, enyi watu wa Moabu. Kuwa kama njiwa anayeatamia juu ya mlango wa tundu katika miamba. \v 29 Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu - majivuno yake, maringo, kiburi, utukufu binafsi na kujiinua moyoni.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 28 Jitengeni na miji na kuweka kambi katika majabali, enyi watu wa Moabu. Kuwa kama njiwa anayeatamia juu ya mlango wa tundu katika miamba. \v 29 Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu--majivuno yake, maringo, kiburi, utukufu binafsi na kujiinua moyoni.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 30 Hili ni tamko la Yahwe--Mimi mwenyewe najua maneno yake ya ukaidi, yasiyosaidia chochote, kama matendo yake. \v 31 Hivyo nitavumisha maombolezo kwa ajili ya Moabu, na nitapiga kelele katika uzuni kwa ajili ya Moabu. Nitaomboleza kwa ajili ya watu wa Kir Hereshi. \v 32 Nitalia zaidi kwa ajili yenu kuliko nilivyofanya kwa Yazeri, mzabibu wa Sibma! Matawi yako yalipita katika Bahari ya Chumvi na kufika hata Yazeri. Mwaribu ameshambulia matunda yenu ya kiangazi na mzabibu wenu.
=======
\v 30 Hili ni tamko la Yahwe - mimi mwenyewe najua maneno yake ya ukaidi, yasiyosaidia chochote, kama matendo yake. \v 31 Hivyo nitavumisha maombolezo kwa ajili ya Moabu, na nitapiga kelele katika huzuni kwa ajili ya Moabu. Nitaomboleza kwa ajili ya watu wa Kir Hereshi. \v 32 Nitalia zaidi kwa ajili yenu kuliko nilivyofanya kwa Yazeri, mzabibu wa Sibma! Matawi yako yalipita katika Bahari ya Chumvi na kufika hata Yazeri. Mwaribu ameshambulia matunda yenu ya kiangazi na mzabibu wenu.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 30 Hili ni tamko la Yahwe--Mimi mwenyewe najua maneno yake ya ukaidi, yasiyosaidia chochote, kama matendo yake. \v 31 Hivyo nitavumisha maombolezo kwa ajili ya Moabu, na nitapiga kelele katika uzuni kwa ajili ya Moabu. Nitaomboleza kwa ajili ya watu wa Kir Hereshi. \v 32 Nitalia zaidi kwa ajili yenu kuliko nilivyofanya kwa Yazeri, mzabibu wa Sibma! Matawi yako yalipita katika Bahari ya Chumvi na kufika hata Yazeri. Mwaribu ameshambulia matunda yenu ya kiangazi na mzabibu wenu.

View File

@ -307,6 +307,10 @@
"48-08",
"48-11",
"48-13",
"48-15",
"48-21",
"48-26",
"48-28",
"49-title",
"49-07",
"49-09",