Mon Nov 07 2022 19:59:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 19:59:34 +03:00
parent 2e12f268ad
commit 5dfe3f8f3d
4 changed files with 5 additions and 15 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 8 Kwani mwaribu atakuja kwa mji; hakuna mji utakaojiepusha. Hivyo bonde litaangamia na tambarare itateketezwa, kama alivyosema Yahwe. \v 9 Mpeni Moabu mabawa, maana ni lazima aruke mbali bila shaka. Miji yake itakuwa magofu, pasipo mtu wa kuishi humo. \v 10 Na alaaniwe kila aliye mvivu katika kufanya kazi ya Yahwe! Na alaaniwe kila auzuiaye upanga wake usimwage damu!
=======
\v 8 Maana mharibu atafika kila mji; hakuna mji utakaookoka. Hivyo bonde litaangamia na tambarare itateketezwa, kama alivyosema Yahwe. \v 9 Mpeni Moabu mabawa, maana ni lazima aruke mbali bila shaka. Miji yake itakuwa magofu, pasipo na mtu wa kuishi humo. \v 10 Na alaaniwe kila aliye mvivu katika kufanya kazi ya Yahwe! Na alaaniwe kila auzuiaye upanga wake usimwage damu!
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 8 Kwani mwaribu atakuja kwa mji; hakuna mji utakaojiepusha. Hivyo bonde litaangamia na tambarare itateketezwa, kama alivyosema Yahwe. \v 9 Mpeni Moabu mabawa, maana ni lazima aruke mbali bila shaka. Miji yake itakuwa magofu, pasipo mtu wa kuishi humo. \v 10 Na alaaniwe kila aliye mvivu katika kufanya kazi ya Yahwe! Na alaaniwe kila auzuiaye upanga wake usimwage damu!

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 11 Moabu amekuwa akijisikia salama tangu alipokuwa kijana. Yeye ni kama mvinyo wake ambao haujamiminwa kutoka mtungi kwenda mtungi mwingine. Hajawahi kwenda utumwani. Hivyo radha yake ni njema kama mwanzo; radha yake haibadiliki. \v 12 Hivyo tazama, siku zinakuja-- hili ni tamko la Yahwe--nitakapompelekea hao watakao mchovya na kumwaga mitungi yake yote na kupasua mitungi yake.
=======
\v 11 Moabu amekuwa akijisikia salama tangu alipokuwa kijana. Yeye ni kama mvinyo wake ambao haujamiminwa kutoka mtungi kwenda mtungi mwingine. Hajaenda matekani. Hivyo radha yake ni njema kama mwanzo; radha yake haibadiliki. \v 12 Hivyo tazama, siku zinakuja - asema Yahwe - nitakapompelekea watakao mchovya na kumwaga mitungi yake yote na kupasua mitungi yake.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 11 Moabu amekuwa akijisikia salama tangu alipokuwa kijana. Yeye ni kama mvinyo wake ambao haujamiminwa kutoka mtungi kwenda mtungi mwingine. Hajawahi kwenda utumwani. Hivyo radha yake ni njema kama mwanzo; radha yake haibadiliki. \v 12 Hivyo tazama, siku zinakuja-- hili ni tamko la Yahwe--nitakapompelekea hao watakao mchovya na kumwaga mitungi yake yote na kupasua mitungi yake.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 15 Moabu itaangamizwa na miji yake kushambuliwa. Kwa maana vijana wake wazuri wameshuka katika eneo la machinjo. Hili ni tamko la mfalme! Yahwe wa majeshi ndilo jina lake. \v 16 Maangazizo ya Moabu yanakaribia; maafa yanaharakisha upesi. \v 17 Ninyi nyote mlio karibu na Moabu, ombolezeni; nanyi wote mjuao fahari yake, pigeni kelele hivi, 'Ole, fimbo yenye nguvu, fimbo yenye heshima, imevunjwa.'
=======
\v 15 Moabu itaangamizwa na miji yake kushambuliwa. Kwa maana vijana wake wazuri wameshuka katika eneo la machinjo. Hili ni tamko la mfalme! Yahwe Mungu wa majeshi ndilo jina lake. \v 16 Maangazizo ya Moabu yanakaribia; maafa yanaharakisha. \v 17 Ninyi nyote mlio karibu na Moabu, ombolezeni. Nanyi mjuao fahari yake, pigeni kelele hivi, 'Ole, fimbo yenye nguvu, fimbo yenye heshima, imevunjwa.'
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 15 Moabu itaangamizwa na miji yake kushambuliwa. Kwa maana vijana wake wazuri wameshuka katika eneo la machinjo. Hili ni tamko la mfalme! Yahwe wa majeshi ndilo jina lake. \v 16 Maangazizo ya Moabu yanakaribia; maafa yanaharakisha upesi. \v 17 Ninyi nyote mlio karibu na Moabu, ombolezeni; nanyi wote mjuao fahari yake, pigeni kelele hivi, 'Ole, fimbo yenye nguvu, fimbo yenye heshima, imevunjwa.'

View File

@ -304,6 +304,8 @@
"48-01",
"48-03",
"48-06",
"48-08",
"48-11",
"48-13",
"49-title",
"49-07",