diff --git a/48/18.txt b/48/18.txt index 2f82cd0..7f3c345 100644 --- a/48/18.txt +++ b/48/18.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 18 Shukeni kutoka mahali penu pa heshima na kuketi katika nchi kavu, ewe binti uishie Diboni. Kwakuwa aiangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, ataziharibu ngome zako. \v 19 Simameni njiani na kuangalia, enyi mwishio katika Aroeri. Waulizeni wanaokimbia na kutoroka. Sema, 'Nini kimetokea?' \v 20 Moabu ameaibika, kwa maana amevujwa. Lieni kwa sauti na uchungu; pigeni yowe kuomba msaada. Wambieni watu waliokando ya Mto Arinoni kwamba Moabu ameangamizwa. -======= -\v 18 Shukeni kutoka mahali penu pa heshima na kuketi katika nchi kavu, ewe binti uishie Diboni. Maana aiangamizaye Moabu anakushambulia, atakayeziharibu ngome zako. \v 19 Simameni njiani na kuangalia, enyi muishio katika Aroeri. Waulizeni wanaokimbia na kutoroka. Sema, 'Nini kimetokea?' \v 20 Moabu ameaibika, maana amevujwa. Lieni kwa sauti na uchungu; pigeni yowe kuomba msaada. Wambieni watu waliokando ya Mto Arinoni kwamba Moabu ameangamizwa. ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 18 Shukeni kutoka mahali penu pa heshima na kuketi katika nchi kavu, ewe binti uishie Diboni. Kwakuwa aiangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, ataziharibu ngome zako. \v 19 Simameni njiani na kuangalia, enyi mwishio katika Aroeri. Waulizeni wanaokimbia na kutoroka. Sema, 'Nini kimetokea?' \v 20 Moabu ameaibika, kwa maana amevujwa. Lieni kwa sauti na uchungu; pigeni yowe kuomba msaada. Wambieni watu waliokando ya Mto Arinoni kwamba Moabu ameangamizwa. \ No newline at end of file diff --git a/48/21.txt b/48/21.txt index c5eaed6..f30dd2d 100644 --- a/48/21.txt +++ b/48/21.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 21 Basi maangamizi yamefika katika nchi ya kilima, huko Holoni, Yakza, na Mefathi, \v 22 na huko Diboni, Nebo, na Bethi Diblathaimu, \v 23 hata huko Kiriatahaimu, Beth Gamul, na Bethi Meoni, \v 24 Huko Keriothi na Bozra, na katika miji yote iliyomo katika nchi ya Moabu--miji iliyoko mbali na karibu. \v 25 Nguvu za Moabu zimekwisha; mkono wake umevunjwa--asema Yahwe. -======= -\v 21 Basi maangamizi yamefika katika nchi ya kilima, huko Holoni, Yakza, na Mefathi, \v 22 huko Diboni, Nebo, na Bethi Diblathaimu, \v 23 huko Kiriatahaimu, Beth Gamul, na Bethi Meoni, \v 24 huko Keriothi na Bozra, na katika miji yote iliyomo katika nchi ya Moabu - miji iliyoko mbali na karibu. \v 25 Nguvu za Moabu zimekwisha; mkono wake umevunjwa - asema Yahwe. ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 21 Basi maangamizi yamefika katika nchi ya kilima, huko Holoni, Yakza, na Mefathi, \v 22 na huko Diboni, Nebo, na Bethi Diblathaimu, \v 23 hata huko Kiriatahaimu, Beth Gamul, na Bethi Meoni, \v 24 Huko Keriothi na Bozra, na katika miji yote iliyomo katika nchi ya Moabu--miji iliyoko mbali na karibu. \v 25 Nguvu za Moabu zimekwisha; mkono wake umevunjwa--asema Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/48/26.txt b/48/26.txt index 705e2b4..e3a927a 100644 --- a/48/26.txt +++ b/48/26.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 26 Mnywesheni, maana alitenda kwa kiburi kinyume changu, Yahwe. Basi Moabu anapiga makofi kwa machukizo kwa matapiko yake mwenyewe, hivyo amekuwa pia kitu cha kuchekesha. \v 27 Kwani Israeli hakufanyika kitu cha kuchekesha kwako? Je, alikuwa amepatikana miongoni mwa wezi, kiasi cha kukufanya utikise dhidi yake kichwa chako kila mara uliponena juu yake? -======= -\v 26 Mnywesheni, maana alitenda kwa kiburi kinyume changu, Yahwe. Basi Moabu anapiga makofi kwa machukizo kwa matapiko yake mwenyewe, hivyo amekuwa pia kitu cha kuchekesha. \v 27 Maana Israeli hakuwa kitu cha kuchekesha kwako? Alionekana miongoni mwa wezi, kwamba ulitikisa kichwa chako kwake mara ulipoongea juu yake? ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 26 Mnywesheni, maana alitenda kwa kiburi kinyume changu, Yahwe. Basi Moabu anapiga makofi kwa machukizo kwa matapiko yake mwenyewe, hivyo amekuwa pia kitu cha kuchekesha. \v 27 Kwani Israeli hakufanyika kitu cha kuchekesha kwako? Je, alikuwa amepatikana miongoni mwa wezi, kiasi cha kukufanya utikise dhidi yake kichwa chako kila mara uliponena juu yake? \ No newline at end of file diff --git a/48/28.txt b/48/28.txt index 103283b..998ed54 100644 --- a/48/28.txt +++ b/48/28.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 28 Jitengeni na miji na kuweka kambi katika majabali, enyi watu wa Moabu. Kuwa kama njiwa anayeatamia juu ya mlango wa tundu katika miamba. \v 29 Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu--majivuno yake, maringo, kiburi, utukufu binafsi na kujiinua moyoni. -======= -\v 28 Jitengeni na miji na kuweka kambi katika minuko, enyi watu wa Moabu. Kuwa kama njiwa anayeatamia juu ya mlango wa tundu katika miamba. \v 29 Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu - majivuno yake, maringo, kiburi, utukufu binafsi na kujiinua moyoni. ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 28 Jitengeni na miji na kuweka kambi katika majabali, enyi watu wa Moabu. Kuwa kama njiwa anayeatamia juu ya mlango wa tundu katika miamba. \v 29 Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu--majivuno yake, maringo, kiburi, utukufu binafsi na kujiinua moyoni. \ No newline at end of file diff --git a/48/30.txt b/48/30.txt index 058ba3d..484ef59 100644 --- a/48/30.txt +++ b/48/30.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 30 Hili ni tamko la Yahwe--Mimi mwenyewe najua maneno yake ya ukaidi, yasiyosaidia chochote, kama matendo yake. \v 31 Hivyo nitavumisha maombolezo kwa ajili ya Moabu, na nitapiga kelele katika uzuni kwa ajili ya Moabu. Nitaomboleza kwa ajili ya watu wa Kir Hereshi. \v 32 Nitalia zaidi kwa ajili yenu kuliko nilivyofanya kwa Yazeri, mzabibu wa Sibma! Matawi yako yalipita katika Bahari ya Chumvi na kufika hata Yazeri. Mwaribu ameshambulia matunda yenu ya kiangazi na mzabibu wenu. -======= -\v 30 Hili ni tamko la Yahwe - mimi mwenyewe najua maneno yake ya ukaidi, yasiyosaidia chochote, kama matendo yake. \v 31 Hivyo nitavumisha maombolezo kwa ajili ya Moabu, na nitapiga kelele katika huzuni kwa ajili ya Moabu. Nitaomboleza kwa ajili ya watu wa Kir Hereshi. \v 32 Nitalia zaidi kwa ajili yenu kuliko nilivyofanya kwa Yazeri, mzabibu wa Sibma! Matawi yako yalipita katika Bahari ya Chumvi na kufika hata Yazeri. Mwaribu ameshambulia matunda yenu ya kiangazi na mzabibu wenu. ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 30 Hili ni tamko la Yahwe--Mimi mwenyewe najua maneno yake ya ukaidi, yasiyosaidia chochote, kama matendo yake. \v 31 Hivyo nitavumisha maombolezo kwa ajili ya Moabu, na nitapiga kelele katika uzuni kwa ajili ya Moabu. Nitaomboleza kwa ajili ya watu wa Kir Hereshi. \v 32 Nitalia zaidi kwa ajili yenu kuliko nilivyofanya kwa Yazeri, mzabibu wa Sibma! Matawi yako yalipita katika Bahari ya Chumvi na kufika hata Yazeri. Mwaribu ameshambulia matunda yenu ya kiangazi na mzabibu wenu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index cbd96a8..37b2f4c 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -307,6 +307,10 @@ "48-08", "48-11", "48-13", + "48-15", + "48-21", + "48-26", + "48-28", "49-title", "49-07", "49-09",