Tue Aug 30 2022 16:28:03 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-30 16:28:04 +03:00
parent aed089b983
commit 49d7b94331
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 36 Kwa hiyo sasa, Mimi, Yahwe, Mungu wa Israeli, kuhusu mji huu ninasema hivi, 'mji ambao mnasema, 'Umetiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli kwa upanga, njaa, na pigo.' \v 37 Ona, niko karibu kuwakusanya kutoka kila nchi nilikowapeleka katika hasira yangu, ghadhabu, hasira kuu. Niko karibu kuwarudisha kwenye sehemu hii na kuwawezesha kuishi katika usalama.
\v 36 Kwa hiyo sasa, Mimi, Yahwe, Mungu wa Israeli, kuhusu mji huu ninasema hivi, 'mji ambao mnasema, 'Umetiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli kwa upanga, njaa, na pigo.' \v 37 Ona, niko karibu kuwakusanya kutoka kila nchi nilikowapeleka katika hasira yangu, ghadhabu, na hasira kuu. Niko karibu kuwarudisha kwenye sehemu hii na kuwawezesha kuishi katika usalama.

View File

@ -1 +1 @@
\v 38 Kisha watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao. \v 39 Nitawapa moyo mmjoa na na njia moja ya kuniheshimu kila siku ili kwamba yawepo mema kwa ajili yao na uzao wao baada yao. \v 40 Kisha nitafanya pamoja nao agano la milele, ili nisiache kufanya mema kwa ajili yao. nitajiwekea heshima katika mioyo yao, ili kwamba wasiniache.
\v 38 Kisha watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao. \v 39 Nitawapa moyo mmoja na njia moja ya kuniheshimu kila siku ili kwamba yawepo mema kwa ajili yao na uzao wao baada yao. \v 40 Kisha nitafanya pamoja nao agano la milele, ili nisiache kufanya mema kwa ajili yao. nitajiwekea heshima katika mioyo yao, ili kwamba wasiniache.

View File

@ -121,6 +121,7 @@
"32-26",
"32-29",
"32-31",
"32-33"
"32-33",
"32-36"
]
}