Tue Jul 05 2022 18:26:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-05 18:26:12 +03:00
parent 8481b520c6
commit c0a85fc2ee
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Kisha Farao akachukua magari yake ya farasi na jeshi lake. \v 7 Alichukuwa magari ya farasi mia sita imara na magari yote ya farasi ya Misri, pamoja na maafisa wa hayo magari. \v 8 Yahweh akafanya mgumu moyo wa Farao, mfalme wa Misri, na mfalme akawafukuzia Waisraeli. Sasa Waisraeli waliondoka kwa shangwe. \v 9 Lakini Wamisri wali wafukuzia, pamoja na farasi na magari ya farasi, wapanda farasi, na jeshi lake. Walikuta Waisraeli wameeka kambi pembezoni mwa bahari kati ya Pi Hahirothi na Baali Zefoni.
\v 6 Kisha Farao akachukua magari yake ya farasi na jeshi lake. \v 7 Alichukua magari ya farasi mia sita imara na magari yote ya farasi ya Misri, pamoja na maafisa wa hayo magari. \v 8 Yahweh akaufanya mgumu moyo wa Farao, mfalme wa Misri, na mfalme akawafukuzia Waisraeli. Sasa Waisraeli waliondoka kwa shangwe. \v 9 Lakini Wamisri wali wafukuzia, pamoja na farasi na magari ya farasi, wapanda farasi, na jeshi lake. Walikuta Waisraeli wameeka kambi pembezoni mwa bahari kati ya Pi Hahirothi na Baali Zefoni.