Tue Jul 05 2022 18:24:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-05 18:24:12 +03:00
parent b83d19ed17
commit 8481b520c6
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Nitaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, na yeye atawakimbiza. Nitapata utukufu kwa sababu ya Farao na jeshi lake lote. Wamisri watajua mimi ni Yahweh." Kisha Waisraeli wakaweka kambi kama walivyo elekezwa. \v 5 Mfalme wa Misri alipo ambiwa Waisraeli wametoroka, nia ya Farao na watumishi wake ikageuka dhidi ya watu. Wakasema, "Tumefanya nini kwa kuwaacha Waisraeli waende huru na wasitutumikie?"
\v 4 Nitaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, na yeye atawakimbiza. Nitapata utukufu kwa sababu ya Farao na jeshi lake lote. Wamisri watajua mimi ni Yahweh." Kisha Waisraeli wakaweka kambi kama walivyo elekezwa. \v 5 Mfalme wa Misri alipo ambiwa Waisraeli wametoroka, nia ya Farao na watumishi wake ikageuka dhidi ya watu. Wakasema, "Tumefanya nini kwa kuwaacha Waisraeli waende uhuru na wasitutumikie?"

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Kisha Farao akachukuwa magari yake ya farasi na jeshi lake. \v 7 Alichukuwa magari ya farasi mia sita imara na magari yote ya farasi ya Misri, pamoja na maafisa wa hayo magari. \v 8 Yahweh akafanya mgumu moyo wa Farao, mfalme wa Misri, na mfalme akawafukuzia Waisraeli. Sasa Waisraeli waliondoka kwa shangwe. \v 9 Lakini Wamisri wali wafukuzia, pamoja na farasi na magari ya farasi, wapanda farasi, na jeshi lake. Walikuta Waisraeli wameeka kambi pembezoni mwa bahari kati ya Pi Hahirothi na Baali Zefoni.
\v 6 Kisha Farao akachukua magari yake ya farasi na jeshi lake. \v 7 Alichukuwa magari ya farasi mia sita imara na magari yote ya farasi ya Misri, pamoja na maafisa wa hayo magari. \v 8 Yahweh akafanya mgumu moyo wa Farao, mfalme wa Misri, na mfalme akawafukuzia Waisraeli. Sasa Waisraeli waliondoka kwa shangwe. \v 9 Lakini Wamisri wali wafukuzia, pamoja na farasi na magari ya farasi, wapanda farasi, na jeshi lake. Walikuta Waisraeli wameeka kambi pembezoni mwa bahari kati ya Pi Hahirothi na Baali Zefoni.

View File

@ -188,6 +188,7 @@
"13-17",
"13-19",
"14-title",
"14-01"
"14-01",
"14-04"
]
}