Thu Nov 03 2022 13:32:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-03 13:32:22 +03:00
parent 9359d18145
commit 59da2a1abd
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Nakala ya ilifanywa kuwa sheria na kupelekwa kwa kila jimbo. Taarifa juu ya maangamizi ya Wayahudi ilienea katika kila jimbo, kwamba watu wote wajiandae katika siku hiyo. \v 15 Wasambazaji walisambaza agizo la mfalme. Tangazo hili pia lilitolewa na kusambazwa katika mji wa Shushani. Mfalme alikuwa na Hamani walikaa na kunywa, lakini mji wa Shushani, lakini mji wa ulikuwa katika uangamivu.
\v 14 Nakala ya ilifanywa kuwa sheria na kupelekwa kwa kila jimbo. Taarifa juu ya maangamizi ya Wayahudi ilienea katika kila jimbo, kwamba watu wote wajiandae katika siku hiyo. \v 15 Wasambazaji walisambaza agizo la mfalme. Tangazo hili pia lilitolewa na kusambazwa katika mji wa Shushani. Mfalme alikuwa na Hamani walikaa na kunywa, lakini mji wa Shushani, ulikuwa katika uangamivu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Modeka aliposikia kilichokuwa kimepangwa dhidi yao, alirarua mavazi yake na kuvaa maguni na majivu. Akaenda katikati mwa mji na kulia kwa sauti na uchungu mwingi. \v 2 Akaenda hadi langoni mwa mfalme; kwa sababu hakuna aliye ruhusiwa kuingia akiwa amevaa magunia. \v 3 Amri hii ilipofika katika kila jimbo, kulikuwa na kilio kikubwa kwa Wayahudi, na kufunga, kulia na maombolezo. Wengi wao walilala katika magunia na majivu.
\c 4 \v 1 Modeka aliposikia kilichokuwa kimepangwa dhidi yao, alirarua mavazi yake na kuvaa magunia na majivu. Akaenda katikati mwa mji na kulia kwa sauti na uchungu mwingi. \v 2 Akaenda hadi langoni mwa mfalme; kwa sababu hakuna aliye ruhusiwa kuingia akiwa amevaa magunia. \v 3 Amri hii ilipofika katika kila jimbo, kulikuwa na kilio kikubwa kwa Wayahudi, na kufunga, kulia na maombolezo. Wengi wao walilala katika magunia na majivu.

View File

@ -65,6 +65,7 @@
"03-07",
"03-08",
"03-10",
"03-12"
"03-12",
"03-14"
]
}