sw_est_text_reg/03/14.txt

1 line
384 B
Plaintext

\v 14 Nakala ya ilifanywa kuwa sheria na kupelekwa kwa kila jimbo. Taarifa juu ya maangamizi ya Wayahudi ilienea katika kila jimbo, kwamba watu wote wajiandae katika siku hiyo. \v 15 Wasambazaji walisambaza agizo la mfalme. Tangazo hili pia lilitolewa na kusambazwa katika mji wa Shushani. Mfalme alikuwa na Hamani walikaa na kunywa, lakini mji wa Shushani, ulikuwa katika uangamivu.