Thu Jun 16 2022 17:26:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 17:26:18 +03:00
parent ac208b8654
commit 5ca93063bd
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Waliwachochea watu, wazee, na waandishi, na kumwendea Stefano wakamkamata, na kumleta mbele ya baraza. \v 13 waliwaleta mashahidi wa uongo, waliosema, "mtu huyu haachi kunena maneno mabaya dhidi ya eneo hili takatifu na sheria. \v 14 Kwani tumemsikia akisema kwamba huyu Yesu wa Nazareti atapaharibu mahali hapa na kuzibadili desturi tulizokabidhiwa na Musa." \v 15 Kila mmoja aliyekuwa katika baraza, akaelekeza macho yake kumwangalia Stefano, nao wakauona uso wake ulikuwa kama uso wa malaika.
\v 12 Waliwachochea watu, wazee, na waandishi, na kumwendea Stefano na wakamkamata, na kumleta mbele ya baraza. \v 13 waliwaleta mashahidi wa uongo, waliosema, "mtu huyu haachi kunena maneno mabaya dhidi ya eneo hili takatifu na sheria. \v 14 Kwani tumemsikia akisema kwamba huyu Yesu wa Nazareti atapaharibu mahali hapa na kuzibadili desturi tulizokabidhiwa na Musa." \v 15 Kila mmoja aliyekuwa katika baraza, akaelekeza macho yake kumwangalia Stefano, nao wakauona uso wake ulikuwa kama uso wa malaika.