diff --git a/06/12.txt b/06/12.txt index 04078e5..f3125c8 100644 --- a/06/12.txt +++ b/06/12.txt @@ -1 +1 @@ -\v 12 Waliwachochea watu, wazee, na waandishi, na kumwendea Stefano wakamkamata, na kumleta mbele ya baraza. \v 13 waliwaleta mashahidi wa uongo, waliosema, "mtu huyu haachi kunena maneno mabaya dhidi ya eneo hili takatifu na sheria. \v 14 Kwani tumemsikia akisema kwamba huyu Yesu wa Nazareti atapaharibu mahali hapa na kuzibadili desturi tulizokabidhiwa na Musa." \v 15 Kila mmoja aliyekuwa katika baraza, akaelekeza macho yake kumwangalia Stefano, nao wakauona uso wake ulikuwa kama uso wa malaika. \ No newline at end of file +\v 12 Waliwachochea watu, wazee, na waandishi, na kumwendea Stefano na wakamkamata, na kumleta mbele ya baraza. \v 13 waliwaleta mashahidi wa uongo, waliosema, "mtu huyu haachi kunena maneno mabaya dhidi ya eneo hili takatifu na sheria. \v 14 Kwani tumemsikia akisema kwamba huyu Yesu wa Nazareti atapaharibu mahali hapa na kuzibadili desturi tulizokabidhiwa na Musa." \v 15 Kila mmoja aliyekuwa katika baraza, akaelekeza macho yake kumwangalia Stefano, nao wakauona uso wake ulikuwa kama uso wa malaika. \ No newline at end of file