From 5ca93063bd6eabd7c4aa5aeb1770f24435e38d28 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Thu, 16 Jun 2022 17:26:18 +0300 Subject: [PATCH] Thu Jun 16 2022 17:26:17 GMT+0300 (East Africa Time) --- 06/12.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/06/12.txt b/06/12.txt index 04078e5..f3125c8 100644 --- a/06/12.txt +++ b/06/12.txt @@ -1 +1 @@ -\v 12 Waliwachochea watu, wazee, na waandishi, na kumwendea Stefano wakamkamata, na kumleta mbele ya baraza. \v 13 waliwaleta mashahidi wa uongo, waliosema, "mtu huyu haachi kunena maneno mabaya dhidi ya eneo hili takatifu na sheria. \v 14 Kwani tumemsikia akisema kwamba huyu Yesu wa Nazareti atapaharibu mahali hapa na kuzibadili desturi tulizokabidhiwa na Musa." \v 15 Kila mmoja aliyekuwa katika baraza, akaelekeza macho yake kumwangalia Stefano, nao wakauona uso wake ulikuwa kama uso wa malaika. \ No newline at end of file +\v 12 Waliwachochea watu, wazee, na waandishi, na kumwendea Stefano na wakamkamata, na kumleta mbele ya baraza. \v 13 waliwaleta mashahidi wa uongo, waliosema, "mtu huyu haachi kunena maneno mabaya dhidi ya eneo hili takatifu na sheria. \v 14 Kwani tumemsikia akisema kwamba huyu Yesu wa Nazareti atapaharibu mahali hapa na kuzibadili desturi tulizokabidhiwa na Musa." \v 15 Kila mmoja aliyekuwa katika baraza, akaelekeza macho yake kumwangalia Stefano, nao wakauona uso wake ulikuwa kama uso wa malaika. \ No newline at end of file