Thu Feb 23 2023 17:25:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-23 17:25:55 +03:00
parent 5bc52d3754
commit 75a9358066
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Lakini kwetu, Yahwe ni Mungu wetu, na hatujamsahau. Tuna makuhani, uzao wa Haruni, wakimtumikia Yahwe, na Walawi, ambao wako kataika kazi yao. \v 11 Kila asubuhi na jioni humtolea Yahwe sadaka za kuteketezwa na uvumba mtamu. Pia hupanga mkate wa uwepo juu ya meza takatifu; pia huweka kinara cha dhahabu pamoaja na taa zake, ili watoe sadaka kila jioni. sisi huzishika sheria za Yahwe, Mungu wetu, Lakini ninyi mmemsahau.
\v 10 Lakini kwetu, Yahwe ni Mungu wetu, na hatujamsahau. Tuna makuhani, uzao wa Haruni, wakimtumikia Yahwe, na Walawi, ambao wako katika kazi yao. \v 11 Kila asubuhi na jioni humtolea Yahwe sadaka za kuteketezwa na uvumba mtamu. Pia hupanga mkate wa uwepo juu ya meza takatifu; pia huweka kinara cha dhahabu pamoja na taa zake, ili watoe sadaka kila jioni. sisi huzishika sheria za Yahwe, Mungu wetu, Lakini ninyi mmemsahau.

View File

@ -165,6 +165,7 @@
"13-01",
"13-04",
"13-06",
"13-08",
"33-title",
"33-01",
"33-04",