Thu Feb 23 2023 17:23:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-23 17:23:55 +03:00
parent f6a174ed9d
commit 5bc52d3754
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Bado Yeroboamu mwana wa Nebati, mtumishi wa Sulemani mwana wa Daudi, akainuka na kuasi dhidi ya bwana wake. \v 7 Watu wabaya, washirika wa karibu, wakamkusanyikia, wakamjia kinyume Rehoboamu mwana wa Slemani, wakati Rehoboamu alipokuwa mdogo na asiye na uzoefu na hakuweza kuwamudu.
\v 6 Bado Yeroboamu mwana wa Nebati, mtumishi wa Sulemani mwana wa Daudi, akainuka na kuasi dhidi ya bwana wake. \v 7 Watu wabaya, washirika wa karibu, wakamkusanyikia, wakamjia kinyume Rehoboamu mwana wa Sulemani, wakati Rehoboamu alipokuwa mdogo na asiye na uzoefu na hakuweza kuwamudu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Sasa mnasema kwamba mnaweza kuuzuia utawala wa Yahwe wenye nguvu katika mkono wa uzao wa Daudi. Ninyi ni jeshsi kubwa, na pamoja nanyi kuna ndama wa dhahabu ambao Yeroboamu alitengeneza kama miungu kwa ajili yenu. \v 9 Hamkuwafukuza nje makuhani wa Yahwe, uzao wa Haruni, na Walawi? Hamkujifanyia makuhani katika namna ya watu wa nchi zingine? Yeyote ajaye kujitakasa mwenyewe na ngo'mbe dume kijana, na madume ya kondoo anaweza kuwa kuhani wa kile ambacho siyo miungu.
\v 8 Sasa mnasema kwamba mnaweza kuuzuia utawala wa Yahwe wenye nguvu katika mkono wa uzao wa Daudi. Ninyi ni jeshi kubwa, na pamoja nanyi kuna ndama wa dhahabu ambao Yeroboamu alitengeneza kama miungu kwa ajili yenu. \v 9 Hamkuwafukuza nje makuhani wa Yahwe, uzao wa Haruni, na Walawi? Hamkujifanyia makuhani katika namna ya watu wa nchi zingine? Yeyote ajaye kujitakasa mwenyewe na ngo'mbe dume kijana, na madume ya kondoo anaweza kuwa kuhani wa kile ambacho siyo miungu.

View File

@ -164,6 +164,7 @@
"13-title",
"13-01",
"13-04",
"13-06",
"33-title",
"33-01",
"33-04",