diff --git a/13/06.txt b/13/06.txt index 2b13484..c04f106 100644 --- a/13/06.txt +++ b/13/06.txt @@ -1 +1 @@ -\v 6 Bado Yeroboamu mwana wa Nebati, mtumishi wa Sulemani mwana wa Daudi, akainuka na kuasi dhidi ya bwana wake. \v 7 Watu wabaya, washirika wa karibu, wakamkusanyikia, wakamjia kinyume Rehoboamu mwana wa Slemani, wakati Rehoboamu alipokuwa mdogo na asiye na uzoefu na hakuweza kuwamudu. \ No newline at end of file +\v 6 Bado Yeroboamu mwana wa Nebati, mtumishi wa Sulemani mwana wa Daudi, akainuka na kuasi dhidi ya bwana wake. \v 7 Watu wabaya, washirika wa karibu, wakamkusanyikia, wakamjia kinyume Rehoboamu mwana wa Sulemani, wakati Rehoboamu alipokuwa mdogo na asiye na uzoefu na hakuweza kuwamudu. \ No newline at end of file diff --git a/13/08.txt b/13/08.txt index e59f2f1..4ca2625 100644 --- a/13/08.txt +++ b/13/08.txt @@ -1 +1 @@ -\v 8 Sasa mnasema kwamba mnaweza kuuzuia utawala wa Yahwe wenye nguvu katika mkono wa uzao wa Daudi. Ninyi ni jeshsi kubwa, na pamoja nanyi kuna ndama wa dhahabu ambao Yeroboamu alitengeneza kama miungu kwa ajili yenu. \v 9 Hamkuwafukuza nje makuhani wa Yahwe, uzao wa Haruni, na Walawi? Hamkujifanyia makuhani katika namna ya watu wa nchi zingine? Yeyote ajaye kujitakasa mwenyewe na ngo'mbe dume kijana, na madume ya kondoo anaweza kuwa kuhani wa kile ambacho siyo miungu. \ No newline at end of file +\v 8 Sasa mnasema kwamba mnaweza kuuzuia utawala wa Yahwe wenye nguvu katika mkono wa uzao wa Daudi. Ninyi ni jeshi kubwa, na pamoja nanyi kuna ndama wa dhahabu ambao Yeroboamu alitengeneza kama miungu kwa ajili yenu. \v 9 Hamkuwafukuza nje makuhani wa Yahwe, uzao wa Haruni, na Walawi? Hamkujifanyia makuhani katika namna ya watu wa nchi zingine? Yeyote ajaye kujitakasa mwenyewe na ngo'mbe dume kijana, na madume ya kondoo anaweza kuwa kuhani wa kile ambacho siyo miungu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index ab3a668..5696935 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -164,6 +164,7 @@ "13-title", "13-01", "13-04", + "13-06", "33-title", "33-01", "33-04",