Fri Mar 30 2018 20:00:24 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
d471dfb1df
commit
3b8cdefaf7
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 \v 12 Kwa maana amri hii nayokuamuru leo sio ngumu sana, wala haipo nje ya uwezo wako kufikia. Haipo mbinguni, ili usije ukasema, “Nani atayekwenda kwa ajili yetu mbinguni na kutuletea kwetu na kutufanya tuisikie, ili tuweze kutekeleza?”
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 13 \v 14 Wala haipo ng’ambo ya bahari, ili usije ukasema, “Nani atakwenda ng’ambo ya pili ya bahari kwa ajili yetu na kutuletea kwetu na kutufanya tuisikie, ili tuweze kuifanya?”. Lakini neno lipo karibu sana kwako, katika kinywa chako na moyo wako, ili uweze kutekeleza.
|
Loading…
Reference in New Issue