Fri Mar 30 2018 19:58:24 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2018-03-30 19:58:25 +03:00
parent 7ac8e40e28
commit d471dfb1df
1 changed files with 1 additions and 0 deletions

1
30/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 \v 10 Yahwe Mungu wako atakufanikisha katika kazi yote ya mkono wako, katika matunda ya mwili wako, katika matunda ya mifugo yako, na katika matunda ya nchi yako, kwa mafanikio; kwa maana Yahwe atafurahia tena mafanikio yako, kama alivyofurahia kwa baba zako. Atafanya hivi iwapo utatii sauti ya Yahwe Mungu wako, ili kuzishika amri zake na kanuni zake zilizoandikwa katika kitabu hiki cha sheria, iwapo utamgeukia Yahwe Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote.