diff --git a/30/11.txt b/30/11.txt new file mode 100644 index 0000000..c4fc4b1 --- /dev/null +++ b/30/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 \v 12 Kwa maana amri hii nayokuamuru leo sio ngumu sana, wala haipo nje ya uwezo wako kufikia. Haipo mbinguni, ili usije ukasema, “Nani atayekwenda kwa ajili yetu mbinguni na kutuletea kwetu na kutufanya tuisikie, ili tuweze kutekeleza?” \ No newline at end of file diff --git a/30/13.txt b/30/13.txt new file mode 100644 index 0000000..9511fc5 --- /dev/null +++ b/30/13.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 13 \v 14 Wala haipo ng’ambo ya bahari, ili usije ukasema, “Nani atakwenda ng’ambo ya pili ya bahari kwa ajili yetu na kutuletea kwetu na kutufanya tuisikie, ili tuweze kuifanya?”. Lakini neno lipo karibu sana kwako, katika kinywa chako na moyo wako, ili uweze kutekeleza. \ No newline at end of file