forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
701 B
Markdown
25 lines
701 B
Markdown
# umelifuta jina lao milele na milele
|
|
|
|
Kusababisha watu kusahaulika inazungumziwa kama kufuta jina lake. "umesababisha wasahaulike kana kwamba umefuta majina yao" au "hakuna atakaye wakumbuka tena daima"
|
|
|
|
# umelifuta
|
|
|
|
"umeondoa"
|
|
|
|
# Adui alivunjika kama uharibifu
|
|
|
|
Adui anazungumziwa kana kwamba alikuwa mji uliojaa majinge yaliyovunjika. "Adui zetu waliangamizwa"
|
|
|
|
# ulipopindua miji yao
|
|
|
|
"Ulipoangamiza miji yao"
|
|
|
|
# Kumbukumbu yao yote imepotea
|
|
|
|
Kumbukumbu inazungumziwa kana kwamba kilikuwa kiumbe hai kinachoweza kufa. "Kumbukumbu yao imesimama" au "Hakuna tena kumbukumbu yao"
|
|
|
|
# Kumbukumbu yao yote imepotea
|
|
|
|
Kumbukumbu inaweza kuelezwa na kitenzi "kumbuka." "Hakuna mtu anaye wakumbuka kabisa"
|
|
|