# umelifuta jina lao milele na milele Kusababisha watu kusahaulika inazungumziwa kama kufuta jina lake. "umesababisha wasahaulike kana kwamba umefuta majina yao" au "hakuna atakaye wakumbuka tena daima" # umelifuta "umeondoa" # Adui alivunjika kama uharibifu Adui anazungumziwa kana kwamba alikuwa mji uliojaa majinge yaliyovunjika. "Adui zetu waliangamizwa" # ulipopindua miji yao "Ulipoangamiza miji yao" # Kumbukumbu yao yote imepotea Kumbukumbu inazungumziwa kana kwamba kilikuwa kiumbe hai kinachoweza kufa. "Kumbukumbu yao imesimama" au "Hakuna tena kumbukumbu yao" # Kumbukumbu yao yote imepotea Kumbukumbu inaweza kuelezwa na kitenzi "kumbuka." "Hakuna mtu anaye wakumbuka kabisa"