Add 'act/28/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-11 20:25:02 +00:00
parent f25647f6af
commit dc7941dfdd
1 changed files with 25 additions and 0 deletions

25
act/28/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,25 @@
# Matendo 28 Maelezo kwa jumla
### Muundo na Mpangilio
Hakuna anayefahamu ni kwa nini Luka anamaliza habari hii bila kuwaambia watu kilichomtendekea Paulo baada ya yeye kuwa Roma kwa miaka miwili.
### Dhana maalum katika sura hii
#### "Barua" na "Ndugu"
Viongozi wa Wayahudi walishangaa kwamba Paulo alitaka kuzungumza nao kwa vile hawakuwa wamepokea barua kutoka kwa kuhani mkuu Yerusalemu kusema kwamba Paulo alikuwa anakuja.
Wakati viongozi wa Wayahudi walipozungumza kuhusu "ndugu" walimaanisha Wayahudi wenzao na sio Wakristo.
### Matatizo mengine ya utafsiri katika sura hii.
#### " Alikua mungu"
Wenyeji waliamini ya kwamba Paulo alikuwa mungu, lakini hawakuamini kwamba alikuwa Mungu wa kweli. Hatujui ni kwa nini Paulo hakuwaambia wenyeji kwamba hakuwa Mungu.
## Links:
* __[Acts 28:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../27/intro.md) | __