Add 'act/27/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-11 19:58:06 +00:00
parent a1d2e83aae
commit f25647f6af
1 changed files with 23 additions and 0 deletions

23
act/27/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,23 @@
# Matendo 27 Maelezo ya jumla
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Kusafiri Majini
Watu walioishi karibu na bahari walisafiri kutumia boti zilizosukumwa na upepo. Wakati wa kipindi fulani mwakani, upepo ungeelekea mwelekeo usiyofaa hadi ikawa vigumu sana kusafiri majini.
#### Uaminifu
Paulo alimwamini Mungu kama atamwezesha kusafiri kwa usalam hadi atakapofika inchi kavu. Aliwaambia mabaharia na wanajeshi kuamini pia kwamba Mungu atachunga maisha yao. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/trust)
#### Paulo anaumega mkate
Luka anatumia maneno karibu kuwa sawa na yale aliyotumia kueleza habari ya karama
mwisho wa Yesu pamoja na wanafunzi wake. Alichukua mkate, akashukuru
Mungu na kuumega na kula. Hata hivyo tafsiri yako isimfanye msomaji kufikiria kwamba Paulo alikuwa anaongoza sherehe ya kidini.
## Links:
* __[Acts 27:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../26/intro.md) | [>>](../28/intro.md)__