diff --git a/act/28/Intro.md b/act/28/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..ed68f7b --- /dev/null +++ b/act/28/Intro.md @@ -0,0 +1,25 @@ +# Matendo 28 Maelezo kwa jumla + +### Muundo na Mpangilio + +Hakuna anayefahamu ni kwa nini Luka anamaliza habari hii bila kuwaambia watu kilichomtendekea Paulo baada ya yeye kuwa Roma kwa miaka miwili. + +### Dhana maalum katika sura hii + +#### "Barua" na "Ndugu" + +Viongozi wa Wayahudi walishangaa kwamba Paulo alitaka kuzungumza nao kwa vile hawakuwa wamepokea barua kutoka kwa kuhani mkuu Yerusalemu kusema kwamba Paulo alikuwa anakuja. + +Wakati viongozi wa Wayahudi walipozungumza kuhusu "ndugu" walimaanisha Wayahudi wenzao na sio Wakristo. + +### Matatizo mengine ya utafsiri katika sura hii. + +#### " Alikua mungu" + +Wenyeji waliamini ya kwamba Paulo alikuwa mungu, lakini hawakuamini kwamba alikuwa Mungu wa kweli. Hatujui ni kwa nini Paulo hakuwaambia wenyeji kwamba hakuwa Mungu. + +## Links: + +* __[Acts 28:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../27/intro.md) | __ \ No newline at end of file