Add 'jas/05/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-06-04 17:59:56 +00:00
parent eb4edf6108
commit ac62107769
1 changed files with 27 additions and 0 deletions

27
jas/05/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,27 @@
# Yakobo 05 Maelezo kwa jumla
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Milele
Sura hii inatofautisha vitu vya dunia hii ambavyo havidumu na kuishi kwa ajili ya vitu vitakavyodumu milele. Ni vyema pia kuishi na matarajio kwamba Yesu atarudi karibuni. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/eternity)
#### Viapo
Wasomi wanatofautiana iwapo fungu hili linafundisha kwamba viapo vyote ni vibaya. Wasomi wengi wanakubaliana kwamba viapo vingine vinakubalika na badala yake Yakobo anawafundisha Wakristo kuwa na maadili.
### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
#### Eliya
Hadithi hii itakuwa ngumu kuelewa iwapo vitabu vya 1 Wafalme na 2 Wafalme na 1 Mambo ya Nyakati na 2 Mambo ya Nyakati havijatafsiriwa.
#### "Okoa roho yake kutoka kwa kifo"
Huenda hii inafundisha kwamba mtu anayeacha maisha yake ya dhambi hataadhibiwa na kifo cha mwili kama athari ya dhambi yake. Kwa upande mwingine, wasomi wamoja wanaamini kwamba hili fungu linafundisha kuhusu wokovu wa milele. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/sin and rc://en/tw/dict/bible/other/death and rc://en/tw/dict/bible/kt/save)
## Links:
* __[James 05:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../04/intro.md) | __