From ac62107769b9a3e0f0c2a6c40c1549f4a7891086 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Fri, 4 Jun 2021 17:59:56 +0000 Subject: [PATCH] Add 'jas/05/Intro.md' --- jas/05/Intro.md | 27 +++++++++++++++++++++++++++ 1 file changed, 27 insertions(+) create mode 100644 jas/05/Intro.md diff --git a/jas/05/Intro.md b/jas/05/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..a1d1874 --- /dev/null +++ b/jas/05/Intro.md @@ -0,0 +1,27 @@ +# Yakobo 05 Maelezo kwa jumla + +### Dhana muhimu katika sura hii + +#### Milele + +Sura hii inatofautisha vitu vya dunia hii ambavyo havidumu na kuishi kwa ajili ya vitu vitakavyodumu milele. Ni vyema pia kuishi na matarajio kwamba Yesu atarudi karibuni. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/eternity) + +#### Viapo + +Wasomi wanatofautiana iwapo fungu hili linafundisha kwamba viapo vyote ni vibaya. Wasomi wengi wanakubaliana kwamba viapo vingine vinakubalika na badala yake Yakobo anawafundisha Wakristo kuwa na maadili. + +### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii + +#### Eliya + +Hadithi hii itakuwa ngumu kuelewa iwapo vitabu vya 1 Wafalme na 2 Wafalme na 1 Mambo ya Nyakati na 2 Mambo ya Nyakati havijatafsiriwa. + +#### "Okoa roho yake kutoka kwa kifo" + +Huenda hii inafundisha kwamba mtu anayeacha maisha yake ya dhambi hataadhibiwa na kifo cha mwili kama athari ya dhambi yake. Kwa upande mwingine, wasomi wamoja wanaamini kwamba hili fungu linafundisha kuhusu wokovu wa milele. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/sin and rc://en/tw/dict/bible/other/death and rc://en/tw/dict/bible/kt/save) + +## Links: + +* __[James 05:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../04/intro.md) | __ \ No newline at end of file