Add '2co/13/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-19 22:32:53 +00:00
parent 9fdb1f36b1
commit 0d9e81f7cd
1 changed files with 27 additions and 0 deletions

27
2co/13/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,27 @@
# 2 Wakorintho 13 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Katika sura hii, Paulo anamaliza kutetea mamlaka yake. Kisha anahitimisha barua hii kwa salamu ya mwisho na baraka.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Maandalizi
Paulo anawaeleza Wakorintho anapojitayarisha kuwatembelea. Anatumaini kuepuka tatizo ya kumwadhibu yeyote kanisani ili aweze kuwatembelea kwa furaha. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/disciple)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Nguvu na udhaifu
Paulo kila mara anatumia maneno tofauti "nguvu" na "udhaifu" katika sura hii. Mtafsiri anapaswa kutumia maneno mawili ya tofauti kabisa.
#### "Jichunguzeni na muone kama mko katika imani. Mjijaribu wenyewe."
Wasomi wamegawanyika juu ya maana ya maneno haya. Wasomi wengine wanasema kwamba Wakristo wanapaswa kujijaribu wenyewe ili kuona kama matendo yao yanahusiana na imani yao ya Kikristo. Wasomi wamegawanyika juu ya maana ya maneno haya. Wasomi wengine wanasema kwamba Wakristo wanapaswa kujijaribu wenyewe ili kuona kama matendo yao yanahusiana na imani yao ya Kikristo. Muktadha unapendeza ufahamu huu. Wengine wanasema maneno haya yanamaanisha kuwa Wakristo wanapaswa kuangalia matendo yao na kuuliza kama wameokolewa kwa kweli. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/faith]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/save). Wengine wanasema maneno haya yanamaanisha kuwa Wakristo wanapaswa kuangalia matendo yao na kuuliza kama wameokolewa kwa kweli. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/faith]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/save)
## Links:
* __[2 Corinthians 13:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../12/intro.md) | __