sw_tn_fork/2co/13/Intro.md

1.6 KiB

2 Wakorintho 13 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Katika sura hii, Paulo anamaliza kutetea mamlaka yake. Kisha anahitimisha barua hii kwa salamu ya mwisho na baraka.

Dhana maalum katika sura hii

Maandalizi

Paulo anawaeleza Wakorintho anapojitayarisha kuwatembelea. Anatumaini kuepuka tatizo ya kumwadhibu yeyote kanisani ili aweze kuwatembelea kwa furaha. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/disciple)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Nguvu na udhaifu

Paulo kila mara anatumia maneno tofauti "nguvu" na "udhaifu" katika sura hii. Mtafsiri anapaswa kutumia maneno mawili ya tofauti kabisa.

"Jichunguzeni na muone kama mko katika imani. Mjijaribu wenyewe."

Wasomi wamegawanyika juu ya maana ya maneno haya. Wasomi wengine wanasema kwamba Wakristo wanapaswa kujijaribu wenyewe ili kuona kama matendo yao yanahusiana na imani yao ya Kikristo. Wasomi wamegawanyika juu ya maana ya maneno haya. Wasomi wengine wanasema kwamba Wakristo wanapaswa kujijaribu wenyewe ili kuona kama matendo yao yanahusiana na imani yao ya Kikristo. Muktadha unapendeza ufahamu huu. Wengine wanasema maneno haya yanamaanisha kuwa Wakristo wanapaswa kuangalia matendo yao na kuuliza kama wameokolewa kwa kweli. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/faith]] and rc://en/tw/dict/bible/kt/save). Wengine wanasema maneno haya yanamaanisha kuwa Wakristo wanapaswa kuangalia matendo yao na kuuliza kama wameokolewa kwa kweli. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/faith and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/save)

__<< | __