sw_tq/1sa/31/01.md

292 B

Nini kilitokea kwa watu wa Israeli walipopigana na Wafilisti?

Watu wa Israeli walikimbia mbele ya Wafilisti na kufa.

Nini kilitokea kwa mtoto wa Sauli?

Wafilisti walimuua mtot wa Sauli.

Nini kilitokea kwa Sauli alipokuwa vitani?

Wapiga upinde walimpata na akapata maumivu makali.