sw_tq/1sa/31/01.md

13 lines
292 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:39:41 +00:00
# Nini kilitokea kwa watu wa Israeli walipopigana na Wafilisti?
Watu wa Israeli walikimbia mbele ya Wafilisti na kufa.
# Nini kilitokea kwa mtoto wa Sauli?
Wafilisti walimuua mtot wa Sauli.
# Nini kilitokea kwa Sauli alipokuwa vitani?
Wapiga upinde walimpata na akapata maumivu makali.