Questions for OT books
This commit is contained in:
parent
cf5a21e456
commit
4b253a3b01
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nani alikuwa shujua wa kwanza katika dunia?
|
||||
|
||||
Nimrodi, mwana wa Kushi, alikuwa shujaa wa kwanza.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini mmoja wa wana wa Eberi aliitwa Pelegi?
|
||||
|
||||
Katika siku zake, dunia iligawaniyika.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nchi gani wafalme kabla wa wafalme walitawala juu ya Waisraeli?
|
||||
|
||||
Nchi ya Edomu wafalme kabla Israeli haijawa na wafalme.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini kilimtokea Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda?
|
||||
|
||||
Alikuwa muovu machoni pa Yahweh, hivyo Yahweh akamua.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Jinsi gani Akari alileta shida Israeli?
|
||||
|
||||
Aliiba kilicho hifadhiwa kwa Mungu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nani alikuwa mwana wa saba wa Yese?
|
||||
|
||||
Daudi alikuwa mwana wa saba wa Yese.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Miaka mingapi Daudi alitawala kama mfalme wa Yerusalemu?
|
||||
|
||||
Alitawala kwa miaka thelathini na tatu kama mfalme Yerusalemu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nani alikuwa mfalme wa mwisho wa Waisraeli?
|
||||
|
||||
Zedekia alikuwa mfalme wa mwisho wa Israeli.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nini Yabesi alimuomba Mungu wa Israeli?
|
||||
|
||||
Aliomba Mungu ambariki, apanue mipaka yake, amlinde na alisiweze kuvumilia maumivu.
|
||||
|
||||
# Maombi ya Yabesi yalijibiwa?
|
||||
|
||||
Ndio, Mungu alimjibu maombi yake.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwa nini ukoo wa Shimei na kaka zake hawaku ongezeka sana kwa idadi na watu wa Yuda waliongezeka?
|
||||
|
||||
Kaka zake hawakuwa na watoto wengi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini baadhi ya wana wa Shimei walienda Gedori upande wa mashariki wa bonde?
|
||||
|
||||
Walikuwa wana tafuta majani ya mifugo yao, na wakapa mengi na mazuri.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Kwanini haki ya mzaliwa wa kwanza ya Rubeni alipewa Yusufu?
|
||||
|
||||
Haki ya mzaliwa wa kwanza alipewa Yusufu, mwana wa Israeli, kwasababu Rubeni alinajisi kitanda cha baba yake
|
||||
|
||||
# Kwa mtoto yupi wa Israeli kiongozi atatoka?
|
||||
|
||||
Kiongozi atatoka kwa Yuda.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini kilimtokea Bera, mwana wa Baali?
|
||||
|
||||
Waasiria walimchukuwa matekani.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Wanajeshi wa ngapi wenye mafunzo Warubeni, Wagadi, na nusu kabila la Manase walikuwa nao?
|
||||
|
||||
Walikuwa na wanajeshi elfu arobaini na nne wenye mafunzo ya vita, waliyo beba silaha, na waliyo vuta upinde.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Kwanini Waagri walishindwa?
|
||||
|
||||
Walishinwa kwasababu Waisraeli walimlia Mungu na kumuamini, na Mungu akawajibu.
|
||||
|
||||
# Waisraeli waliishi kwa muda gani katika nchi waliyo chukuwa kutoka kwa Waagri?
|
||||
|
||||
Waliishi hapo hadi mateka yao?
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kabila nusu la Manase liliishi wapi na familia zao?
|
||||
|
||||
Waliishi katika nchi ya Bashani.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwasababu Warubeni, Wagadi, na nusu kabila la Manase hawakuwa waaminifu kwa Mungu nini alichowafanyia?
|
||||
|
||||
Mungu alimuamsha mfalme wa Asiria na haya makabila yalipelekwa matekani na Asiria.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwa nani Yahweh aliwapeleka matekani Yuda na Yerusalemu?
|
||||
|
||||
Aliwapeleka Yuda na Yerusalemu kwa Nebukadneza mfalme wa Babilonia.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Kazi zipi zilikuwa za wanaume Daudi aliyo waweka wahusika wa muziki?
|
||||
|
||||
Walikuwa watumike kwa kuimba kataka hema la kukutania.
|
||||
|
||||
# Nani alijenga nyumba ya Yahweh Yerusalemu?
|
||||
|
||||
Sulemani alijenga nyumba ya Yahweh.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ni kabila gani la Waisraeli walipangiwa kufanya kazi katika hema la kukutania?
|
||||
|
||||
Walawi ndio walipangiwa kufanya hii kazi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Ni sadaka zipi za maombolezo Aruni na wana wake waliwajibika nayo?
|
||||
|
||||
Walikuwa na wajibu wa sadaka kwenye madhabahu sadaka za kuteketeza na katika madhabahu ya uvumba.
|
||||
|
||||
# Sadaka hizi zilikuwa kwa ajili ya nini?
|
||||
|
||||
Sadaka hizi zilikuwa za kufanya maombezi kwa ajili ya dhambi za Waisraeli
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Walawi walikuwa wanaishi wapi kwa sababu hawakupewa ardhi maalumu kama makabila mengine?
|
||||
|
||||
Walawi walipangiwa miji kwa kura pamoja na malisho yao kutoka makabila ya Yuda, Simeoni, na Benjamini.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ni wanaume wa aina gani walikuwa wana wa Tola?
|
||||
|
||||
Walikuwa wenye nguvu, wanaume wajasiri.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ni idadi gani ya wanaume wa vita kutoka kabila la Isakari?
|
||||
|
||||
Kabila la Isakari walikuwa na wanaume wa vita 87,000.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwa yapi wana wa Bela walijulikana?
|
||||
|
||||
Wana wa Bela walijulikana kama maaskari na waanzilishi wa ukoo.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nani alimzalia Manase mtoto wa kiume aliyeitwa Asrieli?
|
||||
|
||||
Suria wa Kiarami wa Manase ndiye aliyemzalia mtoto wa kiume aliyeitwa Asrieli.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini Efraimu alihitaji faraja kutoka kwa kaka yake wakati alipokuwa anaomboleza kwa siku nyingi?
|
||||
|
||||
Efraimu alihitaji faraja kutoka kwa kaka zake kwasababu wana wake Eza na Eleadi waliuwawa na wanaume wa gathi walipoenda kuiba mifugo yao.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini Efraimu alimuita mwana wake Beria?
|
||||
|
||||
Efraimu alimuita mwana wake Beria kwasababu ya maafa yaliyotokea kwenye familia yake.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nani alikuwa mwana wa Nuni?
|
||||
|
||||
Yoshua alikuwa mwana wa Nuni.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Wapi zilikuwa mali na makazi ya Yoshua na familia yake?
|
||||
|
||||
Mali zao na makazi zilikuwa ndani ya Betheli na vijiji vilivyoizunguka.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ni sifa zipi walizokuwa nazo uzao wa Asheri?
|
||||
|
||||
Uzao wa Asheri walikuwa waanzilishi wa koo, viongozi wa familia zao, wanaume wa kipekee, wanaume wa vita, na watemi kati ya viongozi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Wazao wa Ehudi walisukumwa kufanyaje?
|
||||
|
||||
Uzao wa Ehudi walisukumwa kuhamia Manahathi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Wana wa Elipaali walimfukuza nani?
|
||||
|
||||
Wana wake waliwafukuza wenyeji wa Gathi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Wana wa Yerohamu waliishi wapi?
|
||||
|
||||
Waliishi Yerusalemu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Mikloti na familia yake waliishi wapi?
|
||||
|
||||
Mikloti na familia yake waliishi karibu na ndugu zao Yerusalemu.
|
||||
|
||||
# Nani alikuwa baba waSauli?
|
||||
|
||||
Kishi alikuwa baba wa Sauli.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Wana wa Ulamu, waliokuwa uzao wa Benjamini, walijulikana kwa lipi?
|
||||
|
||||
Wana wa Ulamu walikuwa wanaume wa vita na wapiga mishale.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,12 @@
|
|||
# Wapi nakala za uzao wa Israeli ziliandikwa?
|
||||
|
||||
Nakala za ziliandikwa katika Kitabu cha Walfalme wa Israeli.
|
||||
|
||||
# Kwanini Yuda ilipelekwa matekani na Babilonia?
|
||||
|
||||
Yuda ilipelekwa matekani kwasababu ya dhambi zao.
|
||||
|
||||
# Watu gani walikuwa wa kwanza kurudi katika miji yao?
|
||||
|
||||
Wakwanza kurudi kuishi katika miiji yao walikuwa Waisraeli, Makuhani, Walawi, na Watumishi wa hekalu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwa lipi Azaria alijulikana?
|
||||
|
||||
Azaria alikuwa na mamlaka katika nyumba ya Mungu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwa yapi ndugu wa Adaia na Maasai walijulikani?
|
||||
|
||||
Walikuwa ni wanaume wenye uwezo sana wa kufanya kazi katika nyumba ya Mungu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Ni majukuma gani yaliyo pita ambao walinzi wa lango walitekeleza?
|
||||
|
||||
Awali walisimama kulinda katika geti la mfalme upande wa mashariki wa kambi ya uzao wa Walawi.
|
||||
|
||||
# Nini lilikuwa jukumu la Wakora?
|
||||
|
||||
Wakora walikuwa walinzi juu ya kazi ya hekalu na juu mwingilio wa hema Yahweh alipo ishi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Lipi lilikuwa jukumu la Zekaria, mwana wa Meshelemia?
|
||||
|
||||
Zekaria alikuwa mlinzi kwenye mwingilio wa Hekalu, "hekalu la kuingilia"
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini walinzi wa lango na watoto wao, ambao Daudi na Samweli waliwaeka katika nafasi zao, walifanya?
|
||||
|
||||
Walinzi wa lango na watotot wao walilinda mageti katika nyumba ya Yawehi, hema la kuabudia.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwa namna gani viongozi wa nne wa walinzi wa lango walitekeleza kazi waliyo pangiwa kulinda chumba na vyumba vya kuhifadhia katika nyumba ya Mungu
|
||||
|
||||
viongozi wanne wa walinzi walitumia usiku wao sehemu walizowekwa kuzunguka nyumba ya Mungu na walifungua geti kila asubuhi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kazi zipi maalumu Walawi walipangiwa kufanya?
|
||||
|
||||
Baadhi yao waliwajibika katika hekalu la vifaa na baadhi yao pia waliwekwa kutunza vitu vitakatifu, vifaa, na vitu , kujuisha unga safi, mvinyo, mafuta, manukato, na uvumba.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Upi ulikuwa waajibu wa Wakora?
|
||||
|
||||
Wakora waliwajibika kwa mikate ya uwepo, kuandaa kila Sabatho.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini waimbaji na familia za viongozi wa Walawi waliishi katika vyumba vya pahali pa takatifu walipo kuwa hawafanyi kazi?
|
||||
|
||||
Waimbaji na viongozi wa familia ya Walawi waliishi ndani ya vyumba katika mahali takatifu walipo kuwa hawafanyi kazi, kwa sababu wapiswa kufanya kazi walio pangiwa usiku na mchana.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini kiliwatokea wana wa Sauli Mlima Giliboa?
|
||||
|
||||
Wafilisti waliwakimbiza Sauli na wanae na kuwaua.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Kwanini Sauli alimtaka mbeba ngao amchome kwa upanga wake?
|
||||
|
||||
Sauli alimtaka mbeba ngao amchome kwa upanga wake ili wasio tahiriwa wasije kumtesa.
|
||||
|
||||
# Nini Sauli alikifanya mbeba ngao wake alipo kataa kumchoma?
|
||||
|
||||
Sauli alichukuwa upanga wake na kuuangukia.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Mbeba ngao wa Sauli alivyo alifanya nini baada ya kuona Sauli kafa?
|
||||
|
||||
5Mbeba ngao alivyoona kuwa Sauli amekufa, naye akaangukia upanga wake na kufa.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini wanaume Waisraeli walifanya baada ya kuona jeshi limekimbia na Sauli na wanae wamekufa?
|
||||
|
||||
Walitelekeza miji yao na kukimbia. Kisha Wafilisti wakaja na kuishi humo
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini Wafilisti walifanya mwili wa Sauli?
|
||||
|
||||
Wafilisti wakamvua nguo zote na ngao yake wakaeka ndani ya hekalu la miungu yao, na kichwa chake waka kining'iniza katika hekalu la Dagoni.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini wapiganaji wa Yabeshhi Gileadi walifanya miili ya Sauli na wanae?
|
||||
|
||||
Walichukuwa mwili wa Sauli na hiyo ya wanae, na kuirejesha Yabeshi na kuizika mifupa yao chini ya mti .
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini Sauli alikufa?
|
||||
|
||||
Sauli alikufa kwasababi hakuwa mwaminifu kwa Yahweh. Hakutii maelekezo ya Yahweh, lakini akauliza ushauri kwa mtu anaye ongea na wafu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini Israeli yote ilikuwa tayari kumpaka mafuta Daudi awe mfalme juu ya Israeli?
|
||||
|
||||
Daudi alikuwa nyama na mifupa yako, aliongoza jeshi la Israeli, na Yahweh kupitia Samweli alimtangaza Daudi kuwa ata tawala Israeli.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Yoabu alikuwaje mkuu wa jeshi la Israeli?
|
||||
|
||||
Daudi alisema, yeyote atakaye washambulia Wayebusi wa kwanza atakuwa mkuu wa jeshi kwaiyo Yoabu akashambulia wa kwanza.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini Daudi alikuwa mkubwa na mkubwa baada ya kuanza kuishi mji wa Daudi?
|
||||
|
||||
Daudi alikuwa mkubwa na mkubwa Yahweh wa Majeshi alikuwa naye.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwa lipi Yashobeami alijulikana?
|
||||
|
||||
Aliwaua wanaume mia tatu na mkuki wake katika sehemu moja.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini ilikuwa sifa ya Eleazari Mahohi?
|
||||
|
||||
Baada ya jeshi la Waisraeli kukimbia, Eleazari Mahohi alisimama sehemu yake katikati ya shamba la ngano na kuwakata chini Wafilisti.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ombi gani Daudi alilifanya?
|
||||
|
||||
Daudi alitaka maji ya kunywa kutoka kisima kilicho Bethilehemu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nini wanaume hodari wa Daudi walicho kifanya kutimiza ombi lake?
|
||||
|
||||
anaume hodari watatu wakatoboa kupita jeshi la Wafilisti na kuchota maji kwenye kisima cha Bethilehemu, wakachukuwa maji na kumletea Daudi.
|
||||
|
||||
# Kwanini Daudi alikataa kunywa kutoka kisima cha Bethilehemu wakati wanaume wake hodari walihatarisha maisha yao kuyapata?
|
||||
|
||||
Daudi alikataa kunywa maji kwasababu wameeka maisha ya hatarini kuyapata.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ipi ilikuwa sifa ya Abishai, kaka yake Yoabu?
|
||||
|
||||
Abishai alikuwa kiongozi wa wanaume wa tatu na mara moja aliwai kuua mia tatu kwa mkuki wake.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ipi ilikuwa sifa ya Benaia, mwana wa Yehoiada?
|
||||
|
||||
Benaia alikuwa mwanaume mwenye nguvu aliyewai chini ya shimo kumuua simba wakati theluji ikianguka, alimuua Mmisri mkubwa kukamata mkuki wake.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Jukumu gani Daudi alimpa Benaia?
|
||||
|
||||
Benaia alisifika sana kwa Daudi, alimueka kiongozi wa walinzi wake.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Yupi mwanaume hodari alikuwa kaka yake Yoabu?
|
||||
|
||||
Asaheli alikuwa mwanaume hodari aliye kuwa kaka yake Yoabu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ni kipawa gani maalumu wanaume hodari walio mjia Daudi wakati akiwa amefukuzwa uweponi mwa Sauli walikuwa nacho?
|
||||
|
||||
Wanaume hodari walikuwa Wabenjamini waliweza kutumia mkono wa kuume na wakushoto kurusha mawe na manati na kupiga mishale kutoka kwenye upinde.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ni vipaji gani vya kipekee walikuwa navyo Wagadi walio jiunga na Daudi katika ngome huko nyikani.
|
||||
|
||||
Wagadi walikuwa wanaume wapiganaji, waliofundishwa kwa mapambano, walioweza kumudu ngao na mkuki; ambao nyuso zao zilikuwa kali kama za simba. Walikuwa wepesi kwenye milima kama swala.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ni nini wana wa Gadi walitimiza katika nchi walioyo pewa Waisraeli?
|
||||
|
||||
Wana wa Gadi hawaku katisha Yordani wakati vijito vyake vilipofurika tu, lakini pia waliwa fukuza wote wanaoishi katika mabonde.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Onyo gani Daudi aliwapa wanaume wa Benjamini na Yuda walipo kuja kwenye ngome yake?
|
||||
|
||||
Daudi aliwaambia kama wamekuja kwa amani kumsaidia, mnaweza kujiunga naye, lakini kama wakuja kumsaliti kwa maadui wake, kisha ata mwambia Mungu awakemee maana hajafanya kosa lolote.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini lilikuwa jibu la Amasai kwa onyo la Dauid?
|
||||
|
||||
Amasai alimwambia Daudi kwamba sisi sote tupo upande wake na tunataka amani kwa yeyote atakaye msaidia Daudi kwasababu Mungu anamsaidia.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini Wafilisti walimuondoa Daudi wakati Daudi alikuja kwa Wafilisti ili kupigana kwenye pambano dhidi ya Sauli?
|
||||
|
||||
Wafilisti wali hofu kuwa atamwendea Sauli na kuhatarisha maisha yao.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Jinsi gani wanaume wa Manase ambao baada walikuwa wakuu katika jeshi la Daudi msaidia?
|
||||
|
||||
Walimsaidia Daudi kupigana na kikundi cha wezi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwanini wanajeshi wenye silaha wa vita wote walikuja kwa Daudi huko Hebroni?
|
||||
|
||||
Walikuja kwa Daudi Hebroni kumsaidia kuchukuwa ufalme wa Sauli ambalo lilikuwa timizo ya neno la Yahweh.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwa lipi Zadoki alijulikana?
|
||||
|
||||
Zadoki alikuwa kijana, wenye nguve, na mjasiri.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kwa lipi viongozi mia mbili wa Isakari walijulikana?
|
||||
|
||||
Walikuwa na ufahamu wa nyakati na walijua nini Israeli ili paswa kufanya.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Kwanini wanajeshi wote walikuja Hebroni?
|
||||
|
||||
Walikuja Hebroni kwa dhumuni madhubuti la kumfanya Daudi mfalme wa Israeli.
|
||||
|
||||
# Wapi wanajeshi wa Israeli walipata chakula cha kutosha na kinywaji kuweza kula na kunywa kwa siku tatu kusherehekea Daudi kuwa mfalme?
|
||||
|
||||
Ndugu wa wanajeshi wa Israeli walituma maitaji yote kwao.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nani Daudi alimfuata kabla ya kuzungumza na kusanyiko lote la Israeli?
|
||||
|
||||
Alishauriana na wakuu na viongozi wote wa Israeli.
|
||||
|
||||
# Kwanini kusanyiko lilikubaliana na Daudi, kutuma wajumbe kila sehemu Israeli na kujiunga na Daudi kuleta sanduku la Mungu Israeli?
|
||||
|
||||
Kusanyiko lote liliafiki kufanya haya yote, kwa kuwa yalionekana sawa machoni pa watu wote.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini daudi na Israeli yote ilifanya walipo leta sanduku kutoka nyumbani mwa Abinadabu?
|
||||
|
||||
Daudi na Israeli yote walikuwa wakishangilia mbele za Mungu kwa nguvu zao zote.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nini Yahweh alifanya pale Uza alipo nyoosha mkono wake kuzuia sanduku ng'ombe alipo yumba?
|
||||
|
||||
Hasira ya Yahweh ikawaka juu ya Uza na Yahweh akamua.
|
||||
|
||||
# Kwanini Daudi alikuwa na hasira na Yahweh?
|
||||
|
||||
Daudi alipatwa na hasira kwa kuwa Yahweh alimshambulia Uza.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Wapi Daudi alipo eka sanduku la Mungu wakati alipo kuwa na hofu na Mungu?
|
||||
|
||||
Daudi aliweka sanduku la Mungu kwenye nyumba ya Obedi Edomu Mgiti.
|
||||
|
||||
# Nini Yahweh alicho fanya kwa nyumba ya Obedi Edomu?
|
||||
|
||||
Yahweh akabariki nyumba yake na yote aliyo miliki.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini Daudi alijua kwa uhakika Hiramu, mfalme wa Tire alipo tuma wajumbe, miti ya mierezi, seramala, wa jenzi kujenga nyumba ya Daudi?
|
||||
|
||||
Daudi alijua kuwa Yahweh alimfanya kuwa mfalme juu ya Waisraeli.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini lilikuwa tokea Daudi alipo chukuwa wake zaidi Yerusalemu?
|
||||
|
||||
Daudi alikuwa baba wa wana na mabinti zaidi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Daudi alifanya nini alivyo sikia Wafilisti wanamtafuta?
|
||||
|
||||
Alienda njee dhidi yao.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nini Yahweh alilmjibu Daudi alipo muuliza kama awashambulie Wafilisti?
|
||||
|
||||
Yahweh alimwambia Daudi shambulia kwa maana ata wakabidhi kwa Daudi.
|
||||
|
||||
# Daudi aliagiza nini kifanyike kwa miungu Wafilisti waliyo itelekeza?
|
||||
|
||||
Daudi akatoa amri wateketezwe kwa moto.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kutoka wapi Mungu alimwambia Daudi awashambulie Wafilisti walipo vamia bonde tena?
|
||||
|
||||
Mungu akamwambia Daudi lakini wazunguke kwa nyuma yao na uwajie kupitia misitu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nini Daudi paswa kusikia kabla ya kushambulia Wafilisti kwa nguvu?
|
||||
|
||||
Daudi alipaswa kusikia sauti ya wanajeshi wanatembea kwenye upepo uvumao kutoka juu ya miti.
|
||||
|
||||
# Nini Yahweh alisababisha mataifa yote ya fanye umarufu wake ulipo enda nchi zote?
|
||||
|
||||
Yahweh akasababisha mataifa yote kumuhofia.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nani Daudi alisema ndio watu pekee Yahweh aliyo wachagua kubeba sandaku?
|
||||
|
||||
Walawi pekee ndio watabeba sanduku la Mungu.
|
||||
|
||||
# Kwa dhumuni gani Daudi alikusanya Israeli yote Yerusalemu
|
||||
|
||||
Daudi alikusanya wote Walawi pekee ndio watabeba sanduku la Mungu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nani Daudi alikusanya pamoja kuleta sanduku?
|
||||
|
||||
Daudi akakusanya uzao wa Aruni na Walawi pamoja.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Ni nini viongozi wa familia za Walawi walipaswa kufanya na kaka zao ili waeze kuleta sanduku la Yahweh sehemu Daudi aliyo iandaa?
|
||||
|
||||
Walipaswa kujiweka wakfu ilikwamba walete sanduku la Yahweh.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Kwanini makuhani na Walawi walijiweka wakfu?
|
||||
|
||||
Walijiweka wakfu iliwaweze kuleta sanduku la Yahweh, Mungu wa Israeli.
|
||||
|
||||
# Kutoka kwa nani Musa alipata amri za kubeba sanduku kwenye mabega ya Walawi na miti yake?
|
||||
|
||||
Amri za kubeba sanduku zilitolewa na neno la Yahweh.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nani ambaye Daudi alimpa jukumu la kusajili wana muziki?
|
||||
|
||||
Daudi alitoa jukumu la kusajili wana muziki kwa viongozi wa Walawi.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nani aliwasaidia Walawi waliyo beba sanduku la agano la Yahweh?
|
||||
|
||||
Mungu aliwasaidia Walawi waliyobeba sanduku.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Daudi alivishwa nini na alikuwa na nini juu yake?
|
||||
|
||||
Daudi alivishwa na joho safi na alikuwa amevaa naivera.
|
||||
|
||||
# Nani alileta sanduku kwa furaha za kelele, na sauti za tarumbeta, kwa upatu na vyombo vya uzi na vinubi.
|
||||
|
||||
Israeli yote iliyo ilileta sanduku.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini Mikali alimuona Daudi akifanya kilicho msababisha amdharau moyoni mwake.
|
||||
|
||||
Mikali alimuona Mfalme Daudi akicheza na kusherehekea.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nini Waisraeli walimtolea Mungu baada ya sanduku kuwekwa katikati ya hema ambalo Daudi aliliweka?
|
||||
|
||||
Kisha wakatoa sadaka ya kuteketeza na sadaka ya ushirika
|
||||
|
||||
# Nini Daudi alicho zambaza kwa kila Misraeli alipo maliza kuwabariki watu katika jina la Yahweh?
|
||||
|
||||
Alisambaza kwa kila mmoja kipande cha mkate, na kipande cha nyama, na keki ya mzabibu.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Nini Walawi walipangiwa kufanya walipo tumikia mbele za sanduku?
|
||||
|
||||
Walawi walipangiwa kusheherekea, kushukuru na kumsifu Yahweh, Mungu wa Israeli walipo tumika mbele za sanduku la Yahweh.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nini Asafu na kaka zake walipangiwa kufanya?
|
||||
|
||||
Walipangiwa kuimba nyimbo ya shukurani kwa Yahweh.
|
||||
|
||||
# Nini watu walikuwa wazungumzie kuhusu kwenye nyimbo Asafu na kaka zake waliimba?
|
||||
|
||||
Walikuwa wazungumzie kuhusu matendo yote ya ajabu ya Yahweh.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Watu walikuwa wajisifu kuhusu nini na kutafuta?
|
||||
|
||||
Watu walikuwa wajisifu kuhusu Yahweh na kumtafute.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Kuhusu nini wazao wa Israeli, wateule wa Yahweh, wana paswa kukumbuka kuhusu Yahweh Mungu wao?
|
||||
|
||||
Wanapaswa kukumbuka matendo makuu aliyo fanya, miujiza yake na amri zake kutoka kinywa chake.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# Nini Yahweh alichofanya na Ibrahimu ambacho Waisraeli wapaswa kuweka akilini milele?
|
||||
|
||||
Alifanya agano na Ibrahimu , na Waisraeli wana paswa kuweka agano la Yahweh akillini mwao milele.
|
||||
|
||||
# Nini Yahweh aliaidi kuwapa watu wake kama urithi wao?
|
||||
|
||||
Yahweh aliahidi kuwapa nchi ya Kanani.
|
||||
|
|
@ -0,0 +1,4 @@
|
|||
# Yahweh alilindaje Israeli walipo kuwa wachache kiidadi na walipo kuwa wanaenda ufalme mmoja hadi mwingine?
|
||||
|
||||
Hakuwaruhusu yeyote awatese.
|
||||
|
Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More
Loading…
Reference in New Issue