sw_tq/1sa/21/03.md

148 B

Kuhani alimjibu nini Daudi juu ya mkate uliokuwa mkononi?

Kuhani alimwambia kuwa hakukuwa na mkate wa kawaida bali kulikuwa na mkate mtakatifu.