sw_tq/1sa/21/03.md

5 lines
148 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:39:41 +00:00
# Kuhani alimjibu nini Daudi juu ya mkate uliokuwa mkononi?
Kuhani alimwambia kuwa hakukuwa na mkate wa kawaida bali kulikuwa na mkate mtakatifu.