sw_tq/1sa/17/57.md

133 B

Daudi alikuwa na nini mkononi mwake wakati ambao Abneri anampeleke mbele ya Sauli?

Alikuwa na kichwa cha Mfilisti mkononi mwake.