# Daudi alikuwa na nini mkononi mwake wakati ambao Abneri anampeleke mbele ya Sauli? Alikuwa na kichwa cha Mfilisti mkononi mwake.