sw_tq/1sa/16/06.md

307 B

Samweli alijiambia nini yeye mwenyewe alipomwangalia Eliabu?

Alijiambia kuwa mtiwa mafuta wa Bwana hakika amesimama mbele yake.

Ni kwa namna gani Bwana alimuelezea Samweli kuwa haangalii kama mwanadamu anavyoangalia?

Bwana alisema kuwa mwanadamu anaangalia sura ya nje lakini Mungu anaangalia Moyo.