# Samweli alijiambia nini yeye mwenyewe alipomwangalia Eliabu? Alijiambia kuwa mtiwa mafuta wa Bwana hakika amesimama mbele yake. # Ni kwa namna gani Bwana alimuelezea Samweli kuwa haangalii kama mwanadamu anavyoangalia? Bwana alisema kuwa mwanadamu anaangalia sura ya nje lakini Mungu anaangalia Moyo.