13 lines
614 B
Markdown
13 lines
614 B
Markdown
# Samweli alisema nini kumkemea Sauli?
|
|
|
|
Samweli alimwambia Sauli kuwa ametenda mambo ya kipumbavu kwa kutotii amri ya Bwana aliyopewa.
|
|
|
|
# Samweli alisema kuwa kitu gani kitakuwa matokeo ya matendo ya Sauli?
|
|
|
|
Kwa sababu Sauli hakutii amri ya Bwana utawala wake juu ya Israeli hautaendelea milele badala yake Bwana atamchagua mtu toka moyoni mwake kuwa mkuu juu ya watu wake.