sw_tq/1sa/13/13.md

614 B

Samweli alisema nini kumkemea Sauli?

Samweli alimwambia Sauli kuwa ametenda mambo ya kipumbavu kwa kutotii amri ya Bwana aliyopewa.

Samweli alisema kuwa kitu gani kitakuwa matokeo ya matendo ya Sauli?

Kwa sababu Sauli hakutii amri ya Bwana utawala wake juu ya Israeli hautaendelea milele badala yake Bwana atamchagua mtu toka moyoni mwake kuwa mkuu juu ya watu wake.