sw_tq/1sa/03/07.md

210 B

Ni kitu gani hakikufunuliwa kwa Samweli?

Ujumbe toka kwa Bwana haukufunuliwa kwa Samweli.

Ni kitu gani alikigundua Eli baada ya Samweli kwenda kwake mara tatu?

Eli aligundua kuwa Bwana alimuita kijana.