# Ni kitu gani hakikufunuliwa kwa Samweli? Ujumbe toka kwa Bwana haukufunuliwa kwa Samweli. # Ni kitu gani alikigundua Eli baada ya Samweli kwenda kwake mara tatu? Eli aligundua kuwa Bwana alimuita kijana.