# usiingizi mzito
Hii ni aina ya usingizi ambao mtu hulala fofo na hawezi kuamka kiurahisi.
# kipindi cha ghadhabu
Hii inarejelea wakati ambapo Mungu atahukumu.
# wakati wa mwisho uliopangwa
"wakati ambapo dunia itafikia mwisho"