sw_tn/rev/18/intro.md

1.0 KiB

Ufunuo 18 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

Sura ya 19 itaendeleza mambo yaliomo kwenye sura hii na sura zote zichukuliwe kama kipengele kimoja.

Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 19:1-8

Dhana muhimu katika sura hii

Unabii

Malaika anapeana unabii kuhusu kuanguka kwa Babeli. Inazungumziwa kana kwamba ishatokea ingawa haijatokea. Hii ilikuwa ni kawaida katika unabii na unasisitiza kutokuepuka kwa hukumu ijayo. Inatabiriwa pia watu wataomboleza kuanguka kwa Babeli. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/prophet]], [[rc:///tw/dict/bible/kt/judge]] na rc://*/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)

Tamathali muhimu sa usemi katika sura hii

Mifano

Mifano mara nyingi hutumiwa katika unabii. Sura hii inaachana kidogo na mfumo wa kiapokalipti wa kitabo hiki cha Ufunuo. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

<< | >>