sw_tn/oba/01/05.md

28 lines
645 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Bwana anaendelea kumpa Obadia ujumbe wake kwa Edomu
# kama wanyang'anyi walikuja usiku
"au kama wanyang'anyi walikuja wakati wa usiku"
# wezi
watu wanaiba vitu kwa kuwa na vurugu kwa watu wengine
# jinsi ungekatilwa mbali
Bwana anaongeza maneno haya katikati ya hukumu nyingine kuonyesha kwamba adhabu ya Edomu ni ya kushangaza. AT, ah, umeharibiwa kabisa.
# Wasingeweza kuiba vya kuwatosha?
"wangeweza kuiba vinavyowatosha wenyewe."
# Jinsi Esau amekwisha kupigwa, na hazina zake zilizofichwa zimewekwa nje
"Hakika, adui wamemtafuta Esau; wameitafuta hazina yake iliyofichika."
# tafutwa
kutafuta vitu ili kuiba