# Taarifa za jumla Bwana anaendelea kumpa Obadia ujumbe wake kwa Edomu # kama wanyang'anyi walikuja usiku "au kama wanyang'anyi walikuja wakati wa usiku" # wezi watu wanaiba vitu kwa kuwa na vurugu kwa watu wengine # jinsi ungekatilwa mbali Bwana anaongeza maneno haya katikati ya hukumu nyingine kuonyesha kwamba adhabu ya Edomu ni ya kushangaza. AT, ah, umeharibiwa kabisa. # Wasingeweza kuiba vya kuwatosha? "wangeweza kuiba vinavyowatosha wenyewe." # Jinsi Esau amekwisha kupigwa, na hazina zake zilizofichwa zimewekwa nje "Hakika, adui wamemtafuta Esau; wameitafuta hazina yake iliyofichika." # tafutwa kutafuta vitu ili kuiba