sw_tn/lam/04/21.md

16 lines
449 B
Markdown

# Shangilia na ufurahi
Haya maneno mawili yana maana moja na yana kazia uzito wa furaha. Mwandishi anatumia haya maneno kwa kejeli.
# Binti wa Sayuni ... binti wa Edomu
Haya ni majina ya kishairi ya watu wa Yerusalemu na nchi ya Edomu, ambapo hapa yana zungumziwa kama mwanamke.
# kwako pia kikombe kitapitishwa
Mvinyo watu wanao kunywa kutoka kwenye kikombe ni hishara ya hasira ya Yahweh.
# ata funua dhambi zako
"kuweka wazi dhambi zako"