# kupigana na watu
"Kupigana dhidi ya watu wa Israeli"
# wakachukuliwa mbali na mji
"Watu wa Israeli wakawachukua nje ya mji"
# Walianza kuua baadhi ya watu
"Watu wa Benyamini wakaanza kuwaua baadhi ya watu wa Israeli"